Pages

Thursday, July 19, 2012

LekaDutigite Kigoma All Stars Concert Yadatisha

Mambo ya LekaDutigite Kigoma All Stars Concert
Mwanamuziki Machachari Diamond akidatisha Mashabiki
Wadau wakigoma wakisifia Burudani
Watu Kibao
Mheshimiwa Ziitto Kabwe akiongea
MbungewaKawe(Chadema)HalimaMdee(kushoto)akiwajukwaaninaMbungewaVitiMaalumCCM,Ester Bulaya.
Mheshimiwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA)Zitto Kabwe akiwa na Mashabiki
Mdau Akiwa Mwenye Furaha ndani ya Kigoma All Stars Concert
Waheshimiwa Wabunge Wakiwa kwenye Steji
Wasanii Wakikolezaaa burudani
Mdau Akishowlove ndano ya Kigoma LekaDutigite Kigoma All Stars Concert.Picha zote na Habari zimeletwa hapa na Mh, Zitto Kabwe-Mbunge wa kigoma kaskazini(CHADEMA)

Popular Posts