Pages

Friday, July 20, 2012

Waziri wa Mambo ya Ndani Emmanuel Nchimbi Atembelea Eneo lililohifadhiwa Maiti wa Ajali ya Meli ya Skagit

Waziri wa Mambo ya ndani wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Emanuel Nchimbi alifika katika Eneo lililohifadhiwa Maiti wa Ajali ya Meli ya Skagit ili kutambuliwa na Ndugu zao na Kupata maelezo kwa Daktari Kiongozi hayupo pichani Hapo katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar.

Popular Posts